Claudio Rinaldi Home Page
Home - Bibliografia - - Recensioni e segnalazioni - Presentazioni del: 2006 - 2007 - 2008 - 2009 - 2010 - 2011 - 2012 - 2014


Wasifu wa Claudio Rinaldi


Claudio Rinaldi amezaliwa katika mji wa Salerno tarehe 9.08.1963.
Ameandika vitabu vingi vya hadithi na mashairi.
Pia ameshiriki katika warsha mbalimbali katika bara la ulaya ili kuhamasisha maendeleo ya jamii. Kati ya kazi zake muhimu ni:
Il naufragio dell’anima, Palladio Editore, 1995.
Cuore di favola, Edizione Novares, 1996.
... e le formiche salvarono il mondo, Edizione Novares, 1997.
Fiore di fiaba, Editore Disalvo, 2005.
Favole come nuvole di zucchero filato, Editore Disalvo, 2007.
L’arcobaleno delle favole, EdiGiò Edizioni, 2008.
Le filastrocche non sono mai sciocche.
Fiabina
Una poesia per emergere: Il re tempo, L’amore, Giulio Perrone Editore, 2006.
Nel cuore dell’Amore

Claudio Rinaldi amashiriki katika utunzi wa vitabu vifuatavyo: Alle sogliole del duemila, Mondadori, 1998.
Claudio Rinaldi ameshiriki katika kongamano lililoandaliwa na kukundi cha “Progetto Famiglia Cooperazione” lililofanyika katika Galassia Gutenberg – Napoli mwaka 2007. Nusu ya mapato yaliyotokana na mauzo ya kitabu hicho yalielekezwa katika maendeleo ya jamii katika nchi za Burkina Faso, Palestina na Ukraina.
Mwandishi huyu anashiriki katika kazi mbalimbali katika librari ya manispaa ya Salerno kutoka mwaka 2006. Kazi zao ni kusoma kazi za waandishi wengine – Salerno e-book. Kukutana na waandishi wengine na pia kuandika mashairi.
Kutokana na umaarufu huo na umuhimu wa kazi zake, Claudio Rinaldi ametunukiwa Shahada “Santa Rita” mwaka, 2005, 2006, 2007, 2008.
Kwa mawasiliano: www.claudiorinaldi.eu/www.librialice.it   © Copyright - www.claudiorinaldi.eu - Tutti i diritti riservati - Privacy - design: CLN Solution